Cariad Kenya's Promise
    Cariad Kenya's supporters have worked with Mudzini Kwetu Centre since 2001 to help neglected children in the Kilifi District. In 2007, a short film was made showing what had been achieved up to that date. Take a ride to the home along the Kilifi road; walk in the Kikambala village; spend time on the coast; but then marvel at how lovingly the Kenyans working there have created a place of comfort and joy. With these happy faces in our minds, we are showing our commitment to them in this film, 'The Promise'.

    Ahadi ya Cariad Kenya

    Wasaidizi wa Cariad Kenya wamefanya kazi na kituo cha Mudzini Kwetu tangu mwaka wa 2001, katika juhudi za kusaidia watoto walioachiliwa katika wilaya ya Kilifi. Katika mwaka wa 2007, filamu fupi ilitengenezwa kuonyesha mafanikio yaliyoafikiwa kufikia tarehe hiyo. Tembelea kituo hicho kilichoko katika barabara ya kuelekea Kilifi, tembea katika kijiji cha Kikambala, jiburudishe katika Pwani, kisha ustajabike kuona jinsi wakenya wanaofanya kazi katika hicho, wameweza kuwatengenezea kwa upendo pahali pa faraja na furaha watoto hao. Tukiwa na nyuso hizi zenye furaha katiki akili zetu, tunaonyesha dhamira yetu kwao kupitia kwa filamu hii, 'Ahadi'.